channel logo dark
Mpali
channel logo dark

Mpali

160TamthiliaPG13

Yvonne Chaka Chaka Amshangaza Nguzu Kwenye Birthday – Mpali

Video10 Oktoba

Sherehe ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Nguzu imegeuka kuwa tukio lisilosahaulika! Familia, marafiki na maadui wote wamekusanyika — lakini kilichowashangaza wengi ni ujio wa Yvonne Chaka Chaka, aliyeimba kwa heshima ya Nguzu! Wakati muziki na vicheko vikitawala, migogoro ya kifamilia haijafichika; hisia, wivu na kisasi vinazidi kuchanganya hali shambani. — Endelea kutazama DStv chaneli 160 Angalia tamthilia bora Tanzania kupitia DStv: https://www.dstv.com/maishamagicbongo/sw-za/home Pakua App ya DStv: https://bit.ly/36ZGjkz Facebook: https://www.facebook.com/MaishaMagicBongo Instagram: http://instagram.com/maishamagicbongo TikTok: https://www.tiktok.com/@maishamagic_bongo Twitter:https://twitter.com/MaishaMagicTZ