channel logo dark
Mpali
channel logo dark

Mpali

160TamthiliaPG13

Mke wa Hambe Azidi Kuteseka kwa Mapenzi ya Kuzo – Mpali

Video26 Septemba

Drama ya Mpali haina kikomo! Mke wa Hambe anaendelea kulipia makosa ya mumewe kwa kuwa mtumwa wa mapenzi wa Kuzo . Wakati huo huo, Shadrack anamzawadia mchumba wake pete — ishara ya mwanzo mpya au changamoto mpya zinakuja? — Endelea kutazama DStv chaneli 160 Angalia tamthilia bora Tanzania kupitia DStv: https://www.dstv.com/maishamagicbongo/sw-za/home Pakua App ya DStv: https://bit.ly/36ZGjkz Facebook: https://www.facebook.com/MaishaMagicBongo Instagram: http://instagram.com/maishamagicbongo TikTok: https://www.tiktok.com/@maishamagic_bongo Twitter:https://twitter.com/MaishaMagicTZ