channel logo dark
Mpali
channel logo dark

Mpali

160TamthiliaPG13

Lindiwe amvaa Tamara kuhusu mtoto – Mpali I S5 I Ep 187–190 I Maisha Magic Bongo

Video12 Juni

Lindiwe anazidiwa na hasira baada ya kuhisi Tamara anampokonya nafasi yake kama mama. Mzozo wao unafikia kilele hadi kupigana, jambo linaloibua maswali mazito kuhusu uhusiano wa wake wa Nguzu na hali ya malezi shambani. Je, Nguzu ataingilia kati au hali itazidi kuwa mbaya? — Endelea kutazama DStv chaneli 160 Angalia tamthilia bora Tanzania kupitia DStv: https://www.dstv.com/maishamagicbongo/sw-za/home Pakua App ya DStv: https://bit.ly/36ZGjkz Facebook: https://www.facebook.com/MaishaMagicBongo Instagram: http://instagram.com/maishamagicbongo TikTok: https://www.tiktok.com/@maishamagic_bongo Twitter:https://twitter.com/MaishaMagicTZ