channel logo dark
Jua Kali
channel logo dark

Jua Kali

160Tamthilia16

Maumivu, Majuto na Wivu Kuwasha Moto – Juakali

Video28 Agosti

Frank anapokea taarifa za kifo cha mtoto wake, kumbukumbu za Kitundu zinawasha majonzi, Enzo anakwama katika uzalendo wake, na makaburi ya Eva yanafukuliwa 😱. Wivu na majuto vinatawala kijijini na mjini, lakini swali ni moja — ndoa itafungwa au itasambaratika? Usikose kufuatilia Juakali kwenye Maisha Magic Bongo! — Endelea kutazama DStv chaneli 160 Angalia tamthilia bora Tanzania kupitia DStv: https://www.dstv.com/maishamagicbongo/sw-za/home Pakua App ya DStv: https://bit.ly/36ZGjkz Facebook: https://www.facebook.com/MaishaMagicBongo Instagram: http://instagram.com/maishamagicbongo TikTok: https://www.tiktok.com/@maishamagic_bongo Twitter:https://twitter.com/MaishaMagicTZ