Profesa Bili anatumia NGO kuficha uovu wake, akimtumia Thomas, kijana wa dini na mpendwa wa jamii. Ukweli ukifichuka, Thomas analipiza kisasi kupitia familia ya Profesa. Mapenzi, pesa na uchoyo vyazua moto mkubwa chini ya jua kali!
S8 | E103
20 Septemba 21:30
'S8/E103 of 160'. Anna anamuingiza kijanja Davis kwenye familia, Bill anamvisha pete Eva, Maria mitihani inamkuta, Enzo ...