Logo
jiya, slim billboard,
channel logo dark

Jiya

160DramaPG13

Sanjeet akamatwa na Askari -Jiya

Video
12 Februari

Sanjeet anamueleza Shangazi yake kuwa Halua ndo chaguo la moyo wake huku Askari wanamfuata Sanjeet na kudai kuwa ni mhalifu. Vile vile, Priya wana mazungumzo na Patel kichakani na anapigwa risasi sekunde chache baadae.