channel logo dark
Jivu S1 Slim BB Desktop
channel logo dark

Jivu

160DramaPG13

Munir Aongea na Balui Baada ya Kutoka Hospital – JIVU

Video15 Novemba

Munir anamtembelea Balui chumbani kwake baada ya kurudi nyumbani kutoka hospitalini, akitaka kuhakikisha anapata nguvu na utulivu baada ya yote yaliyotokea Wakiwa kwenye mazungumzo ya faragha, Balui anafunguka kuhusu majuto yake na anamwomba Munir amsaidie kumuomba Karen msamaha — Endelea kutazama DStv chaneli 160 Angalia tamthilia bora Tanzania kupitia DStv: https://www.dstv.com/maishamagicbongo/sw-za/home Pakua App ya DStv: https://bit.ly/36ZGjkz Facebook: https://www.facebook.com/MaishaMagicBongo Instagram: http://instagram.com/maishamagicbongo TikTok: https://www.tiktok.com/@maishamagic_bongo Twitter:https://twitter.com/MaishaMagicTZ