Huba
160
Tamthilia
16
Main
Abby aibiwa simu uswahili I Huba I Season 14 I Maisha Magic Bongo
Video
15 Mei
Abby aliamua kwenda mtaani – lakini mambo hayakwenda kama alivyotarajia! Akiwa anazunguka mitaa ya uswahilini, anavamiwa ghafla na kuibiwa simu yake. Je, tukio hili litabadilisha mtazamo wake kuhusu maisha halisi ya mtaani?
Jisajili kuangalia
Up Next
Kifo cha Dave - HUBA I S14 I Maisha Magic Bongo
25 Aprili
Abby humwambii kitu juu ya Nelly wake
04 Aprili
Nelly amlilia babake - Huba
21 Machi
'Usimpige Mwanamke' - Huba
14 Machi
'Mjomba ni Mama' - Huba
07 Machi
Nelly Yuko Wapi? - Huba
28 Februari