Logo
Huba S12 BB
channel logo dark

Huba

160Drama16

'Mjomba ni Mama' - Huba

Video
07 Machi

Makoyo amchana Kibibi na kumkumbusha kuwa 'Mjomba ni Mama' huku bado wametekwa kwa mganga. Kwa upande mwingine, Dave anamkanya Abby kutozungumza 'vibaya' nyumbani kwake.